nEWS: NBS yaishukia GeoPoll kuhusu 'Takwimu za Vichochoroni'.. yataka zipuuzwe..
Ofisi ya Takwimu ya Taifa NBS imeziponda takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Kampuni ya GeoPoll kuhusiana na ukusanyaji wa taarifa za Television na Radio nchini kwa idadi ya watazamaji ikidai hazikukusanywa kwa njia iliyoidhinishwa.

No comments:
Post a Comment