bREAKING nEWS: Wafuasi CUF 'watwangana makonde' Mahakama Kuu Jijini Dar es Salaam.. #share
Hali ya sintofahamu imejitokeza asubuhi ya leo kati ya wanaoaminika kuwa ni Wafuasi wa CUF wanaomuunga mkono Maalim Seif na wanaomuunga mkono Prof Ibrahim Lipumba na kulazimika kutwangana makonde walipokutana Mahakama Kuu leo.
wananchama hao walifika Mahakamani hapo kufuatilia shauri lililofunguliwa na Wabunge wanane wa Chama hicho upande wa Maalim kupinga kufutwa uanachama sambamba na kuzuia kuapishwa kwa Wabunge wapya walioteuliwa kujaza nafasi zao.
No comments:
Post a Comment