Election Updates: Wakenya wajipanga misururu mirefu kuamua Rais wao,.. Raila Odinga apiga kura yake Olympic Primary School.. #share..

Mamia kwa maelfu ya Wakenya wameanza kupiga kura alfajiri ya leo huku kukiwa na misururu mirefu katika vituo vya kupiga kuanzia majira ya saa 10 usiku..



Taarifa kutoka dawati la upashanaji habari la Mgombea Urais Raila Odinga, zimesema mgombea wao anatarajia kupiga kura yake katika shule ya Olympic Primary School iliyoko kata ya Kibra majira ya saa 4 na nusu asubuhi hii huku Mgombea Mwenza Kilonzo Musyoka akielekea Kata ya Kitui ambapo atapiga kura yake katika shule ya Msingi ya Tseikuru majira ya saa 4 kamili..

kumekuwepo na hali ya utulivu katika maeneo mengi huku pande zote mbili zikielezea kuridhishwa kwao na maandalizi ya zoezi zima la upigaji kura huku nauli za matatu zikielezewa kupanda..
Tume ya uchaguzi na mipaka Nchini Kenya IEBC imeanzisha website maalum kwa ajili ya uhakiki wa kura za wagombea - Voter Verification Portal https://voterstatus.iebc.or.ke/

Cautious Kenyans Queue Early to Vote in Grand Uhuru-Raila Contest

Millions of people go to the polls in Kenya on Tuesday amid fears that the latest electoral clash between its foremost political dynasties could once again descend into violence. Members of the public reported to polling stations that open at 6 am, some as early as 1 am, to vote for their choice candidate.

President Uhuru Kenyatta, 55, the businessman son of Kenya's first president, is running for the second time against arch rival Raila Odinga, a 72-year-old former political prisoner and son of the east nation's first vice-president.

Well before 6am, queues were long at polling stations such as Jomo Kenyatta sports grounds in Kisumu Central, Aga Khan Hall in the county, Kisumu East, Kisumu West and Seme. This was also reported in many parts of Nairobi, Siaya and Mombasa. In the Coastal town, youths blew vuvuzelas in calls for people to go and vote while in Murang'a boda boda operators went to estate blowing whistles and honking.




Presidential Flagbearer Rt. Hon. Raila Odinga will vote at Olympic Primary School in Kibra const, at 10.30am

Deputy Presidential Candidate Kalonzo Musyoka will vote at Tseikuru Primary School, Kitui at 10.00am

Hon. Musalia Mudavadi will vote at Chemakanga Primary School, Sabatia at 9.00am

Governor Isaac Rutto will vote at 6.00am Chebaraa Polling Station, Chepalungu at 6.00am

Senator Wetangula will vote at 8.00am Mukhweya Primary School, Kabuchai 
And last but not least

Tom Mogondo will vote at Moi University West Campus  at 6:45 am

Source: NYAKUNDI NEWS

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search