iPhone Leaks: Picha 4 zikionyesha muonekano mpya wa simu ya iPhone 8 (isiyolowa maji hata kwa fimbo).. inayotarajiwa kuingia Sokoni hivi karibuni.. #share

Kampuni ya Nodus inayojishughulisha na 'udaku' wa mambo ya Simu na Vifaa vya Mawasiliano (Tech & Gadgets) Imetuletea picha za awali za inayosemekana muenekano wa simu mpya ya iPhone 8 inayotarajiwa kuonekana mikononi mwa wateja hivi Karibuni..
Miongoni mwa vionjo vya awali vya simu hiyo yenye ukubwa 5.8'inch kiganjani, licha ya Sifa Kuu ya kutoloa maji hata kwa fimbo,.. ni cover (leather case) yake ya thamani kubwa yenye uwezo wa kujishika yenyewe ukutani bila kushikiliwa na kitu chochote...

Endelea kuchungulia ukurasa huu for more updates..

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search