Election updates: Mnyukano wa Mawakili (Battle of Lawyers) ukisubiriwa,.. Orodha ya Mawakili wa kila Upande yatangazwa.. #share


Hali ya tashwishi kuu imetawala miongoni mwa raia wa nchi ya Kenya na majirani zake baada ya muungano wa NASA na aliyekuwa Mgombea urais kupitia Muungano huo Raila Odinga kufungua kesi mahakamani.


Huku mamlaka zikichelewesha kumuapisha Rais Mteule Bw. Uhuru Kenyatta, kinachosubiriwa na wengi ni kuona mnyukano wa mawakili wakishindana kwa hoja, ushahidi na kuhakikisha kila upande unashinda ,Tukio hili huko Kenya limepewa jina maalumu kama "#Battle_of_the_Lawyers"

Ifuatayo Ni orodha ya mawakili watakowakilisha kila upande kwa maana ya NASA,JUBILEE na time ya uchaguzi na mipaka ya Kenya IEBC

NASA
1. MUTULA KILONZO JR
2. JAMES ORENGO
3. GEORGE ORARO
4. PAUL MWANGI
5. KETHI KILONZO
6. WILLIS OTIENO


JUBILEE
1.FRED NGATIA
2. KATWA KIGEN
3. KITHURE KINDIKI
4. MOHAMED NYAOGA

IEBC
1. AHMEDNASIR ABDULAHI
2. PAUL NYAMODI
3. PAUL MUITE
4. KAMAU KARORI

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search