Jose Mourinho awashukuru 'wapiganaji' wake.. 'I let the horses run freely & they were magnificent'.. #share

KOCHA Mkuu wa kikosi cha 'mashetani wekundu' timu ya Manchester Utd Jose Mourinho, amewapongeza wachezaji wake kwa kazi nzuri Uwanjani na kuwachapa wapinzani wao goli 4 bila majibu..

Mourinho is full of praise for his side for being "classy, calm and consistent" as they continue their good start to the season by beating Swansea 4-0 at the Liberty Stadium.

Mourinho hinted at a change of playing style as he said his team's "happiness" was key to their attacking threat, saying even after his side had scored two goals "the feeling was that we can score more" so he was happy to "just let the horses run freely, and they were magnificent

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search