JPM akutana leo na kufanya mazungumzo na Wakuu wa Majeshi wa sasa na Wastaafu...#share

Rais John Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wastaafu pamoja na viongozi wa sasa wa vyombo vya ulinzi na usalam
Taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU, Jaffar Haniu, imeeleza kuwa viongozi hao ni Wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Wakuu wa Jeshi la Polisi, Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Wakuu wa Idara ya Uhamiaji, Wakuu wa Jeshi la Magereza na Wakuu wa Jeshi la Zimamoto
Pichani ni Rais Magufuli akizungumza na Wakuu wa Majeshi mbalimbali wa sasa na wastaafu
No comments:
Post a Comment