Magazeti ya Hardnews & Sports Leo 16/08/2017: REVILED: Lissu & Wema 'mpaka kieleweke' atinga nae Mahakamani kumtetea,.. Wanafunzi wa Sayansi sasa 'watalamba' 40% Bodi ya Mikopo,.. . Msako wa Fedha za Escrow umetamalaki Ulaya,.. Simba yanasa 'uchawi wa Yanga Pemba'.. na Kenyatta ampiku JPM.. #share

Bodaboda sasa 'zageuka kuwa zimwi la kufyeka miguu ya watu',.. Karia kuanza kufyeka wababaishaji TFF, Yanga wamtimua Chirwa,.. Bodaboda marufuku kubeba watoto chini ya miaka 10... na Mabosi wa Jiji MBEYA wapandishwa Kortini..


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search