Magazeti ya Leo 05/08/2017: JPM achefukwa na mabango ya 'mshahara kiduchu',.. 'mkojo wa Wema Sepetu' watinga Mahakamani,.. Lowasa atua Nairobi kumpa nguvu Uhuru.. na Wabunge wapya wa CUF sasa ni 'mwendo wa mjengoni'..
Mambo 10 'kufuru' mgao wa Makinikia,.. Kagame huyooo Ikulu,.. Polisi sasa wawatolea macho wauzaji vifaa vya umeme,.. Ng'ombe wa nane-nane aibwa,.. Majangili 1,700 wanaswa,
No comments:
Post a Comment