Magazeti ya Sports na Hardnews Leo 14/08/2017: CHADEMA Yalaani, Yasema ni 'Unyama' alichofanyiwa Sumaye.. Waziri wa JPM atua kiwandani 'kininja',.. Baada ya kushindwa Odinnga atangaza mapumziko Kenya,.. Simba kuimaliza Yanga kwa Sh. Bilioni 3.. #share
Beki wa Yanga aapa kuwadhibiti Okwi na Kichuya Uwanjani,.. Sakata la ESCROW lapata 'Nguvu Kimataifa'.. Uhamiaji sasa watinga nyumba za Ibada,.. Ni LUKAKUUUU... Man-U ikiikong'oli West Ham 4 - 0, na Roma Mkatoliki aanika mazito ya kutekwa kwake...
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment