WAZIRI MKUU MAJALIWA na mkewe walipofika kumjulia hali Mbunge aliepata ajali mbaya ya gari Mhe. Josephine Ngezabuka..
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mke wake Mary wamjulia hali leo August 13, 2017 ,Mbunge wa Viti maalumu CCM Mkoa wa Kigoma Mheshimiwa Josephine Ngezabuka .ambaye amelazwa kwa matibabu katika Hosptali ya Muhimbili (MOI) Baada yakupata ajali hivi karibuni Mkoani Kigoma. katikati mwenye miwani ni Naibu spika Dk,Tulia Akson.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Spika Dr Tulia Akson mwenye miwani akiwa na Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichako (c) pamoja na Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Catherine Magige. wamjulia hali leo August 13.2017 ,Mbunge wa Viti maalumu CCM Mkoa wa Kigoma Mheshimiwa Josephine Ngezabuka ,ambaye amelazwa kwa matibabu katika Hosptali ya Muhimbili (MOI) Baada yakupata ajali hivi karibuni Mkoani Kigoma.
No comments:
Post a Comment