sPORTS uPDATES: Jua kikosi kamili cha Simba kinachominyana na Yanga jioni hii.....#share
WAKATI jioni hii watani wajadi Simba na Yanga wakitarajia jioni hii kukutana katika mtanange wa kukata na shoka wa Ngao ya Jamii kuashiria kufunguliwa kwa msimu mpya wa ligi kuu Tanzania Bara wa 2017/18.
Kifuatacho ni kikosi cha Simba kitakachoikabili Yanga.
Simba Sc vs Yanga
Starting line-up
1.Aishi Manula
2.Ally Shomari
3.Erasto Nyoni
4.Salim Mbonde
5.Method Mwanjale
6.James Kotei
7.Shiza Kichuya
8.Mzamiru Yassin
9.Laudit Mavugo
10.Emanuel Okwi
11.Haruna Niyonzima
Sub;
1. E. Mseja
2.M. Tshabalala
3.Juuko M
4. J. Mkude
5.M.Kazimoto
6.J Luizio
7.MO Ibrahim




No comments:
Post a Comment