tAARIFA kUTOKA iKULU: JPM apokea hati za utambulisho wa Mabalozi watano ....#share

RAIS John Magufuli leo amapokea hati za utambulisho wa Mabalozi watano walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini.


Aidha wakati huo huo Rais Magufuli amemuapisha Benedict Martin Mashiba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.



Na Abraham Ntambara

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search