Breaking: Tundu Lissu 'kutwaa shavu' Marekani.. atajwa kuwa 'Mwafrika wa kwanza' kufanya hivyo katika miaka ya hivi karibuni.. Hongera Sana Lissu.. #share

HATIMAYE  nyota ya Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria nchini (TLS),Tundu Lissu imeanza  kung’aa katika  anga za kimataifa baada ya Gwiji huyo wa sheria nchini kupata  Mwaliko kwenye Mkutano mkubwa wa sheria Duniani.
Tundu Lissu ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema amepata Mwaliko katika Mkutano wa Mawikili Bingwa wa Sheria Nchini Marekani.



Mkutano hao unatarajiwa kuhudhuliwa na mawakili Bingwa kutoka Nchi tofauti Duniani utarajia kufanyika Jiji la Washington Dc siku ya Ijumaa ya tarehe 15/09/2017.

Katika Mkutano huo, Lissu anatajwa kuwa ni Mwafrika  wa kwanza kuhudhulia  ikitajwa sababu kuu kwa Gwiji huyo wa sheria kupewa mwaliko kwenye mkutano huo kuwa ni kutokana na Umahiri wake wa sheria pamoja na kujitokeza kuwatetea wanyonge kupitia sheria.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search