Exclusive: Yanayojiri ndani ya Serena Hotel Jijini Dar es Salaam, Kampuni ya ITEL ikiadhimisha miaka 10 tokea kuanzishwa kwake..
Kampuni ya Kutengeneza Simu za mkononi ya Itel ya Nchini China, imetimiza miaka 10 tokea kufungua pazia la Biashara hususan Nchini Tanzania..
Matukio360 ianakuletea Exclusive Coverage ya matukio mbali mbali katika picha yanayojiri wakati huu kwenye hafla ya kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Kampuni ya hiyo inayofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment