Sports News: Bayern Yamfurusha Ancelotti.. Soma Habari Kamili na Matukio 360..#share
KOCHA wa mabingwa watetezi wa Bundesliga Bayern Munich, Carlo Ancelotti ametimuliwa, ikiwa ni siku moja baada ya kufungwa mabao 3-0 na PSG kwenye ligi ya mabingwa Ulaya, “ Champions League”.
Ancelloti alijiunga na Bayern msimu uliopita na kuchukua ubingwa wa Bundesliga, lakini aliondolewa katika hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa ya 2016/17 na Real Madrid
Ancelloti alijiunga na Bayern msimu uliopita na kuchukua ubingwa wa Bundesliga, lakini aliondolewa katika hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa ya 2016/17 na Real Madrid
No comments:
Post a Comment