gOOD nEWS: Duka La Kwanza La TECNO SMART HUB Lamezinduliwa Leo Jijini Dar es Salaam....#share
Katika duka letu la“TECNO SMART HUB” ni duka la suluhisho zoteza simuza simujanja,vifaa vya simu na huduma mbalimbali za kidigitali.
Pengine,chakusisitiza zaidi ya yote, duka hali tunauza au kuonyesha bidhaa tu bali wateja watapata fursa ya kufahamu kwaundani bidhaa na huduma zipatakinazo kwenye duka hilo.
Wakati wa Uzinduzi wateja walipa tanafasi yakushinda zawadik ambazo ni TV ya inchi 32, Feni na kadhalika, pia walipata burudani kutoka kwa crew ya wachezaji.
TECNO, kama kiongozi wa simu za mkononi, hutoa simu bora za mkononi na huduma bora kwa watumiaji wa Tanzania, na katika TECNO SMART HUB, unaweza kufurahia bora kwa maisha yako mwenyewe ya simu ya mkononi.
Uzinduziwa TECNO SMART HUB shuduia picha zaidi
Smart Hub views:
Street Marching:
Flash Mob:
Phone experiencing:
Lucky draw:
No comments:
Post a Comment