Jaji Mkuu Mstaafu, Othman Chande amtembelea hospitaliTundu Lisssu...#share

NAIROBI: Jaji Mkuu Mstaafu, Othman Chande amemtembelea na kumjulia hali Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu aliyelazwa Jijini Nairobi nchini Kenye baada ya kushambuliwa kwa risasi na watu wasiofahamika siku kadhaa zilizopita akiwa mjini
Image may contain: 3 people, people smiling, people standing


Pichani Katikati ni Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande akiwa na mke wa za Lissu pamoja na wa Mbunge Jushua Nassari alipoenda hospitali kumjulia hali kumjulia hali ya Tundu Lissu anayeendelea na matibabu.


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search