Kufungiwa Gazeti la Mwanahalisi kwa Waibua TEF na Kutoa Tamko...Habari Kamili Hii Hapa na Matukio360..#share
SIKU moja baada ya serikali ya Rais John Magufuli kulifungia Gazeti linalotoka kwa wiki la Mwanahalisi kwa kile kinachoelezwa na serikali hiyo kuwa gazeti hilo limekiuka misingi ya taaluma ya Habari.
Jukwaa la Wahariri nchini (TEF) limeibuka na kuivaa serikali huku wakisema wanasikitishwa na hatua ya serikali kulifungia gazeti hilo kwa madai kuwa sheria mpya ya huduma ya habari ya mwaka 2016 haitoi mwanya kwa gazeti kufungiwa bali linataka masuala husika a habari kupelekwa mahakamani.
Kwa mujibu wa iliyotolewa na Mwenyekiti wa (TEF) Theophil Makunga kwa vyombo vya habari amesema Jukwaa la hilo limeskitishwa na taarifa ya serikali kulifungia gazeti la Mwanahalisi kwa miezi 24.
Tamko la TEF

No comments:
Post a Comment