Lacazette Aibeba Arsenal Dhidi ya West Bromwich..Habari Kamili Hii Hapa na Matukio360..#share
MSHAMBULIAJI mpya wa klabu ya Arsenal Alexandre Lacazette jana jumatatu usiku alifanikiwa kuifungia mabao 2 – 0 dhidi ya West Bromwich Albion katika mchezo wa Ligi kuu ya England , kwa bao la dakika ya 20 kipindi cha kwanza na bao lingine la dakika ya 67 kipindi cha alilofunga kwa njia ya penati.

Alexandre Lacazzete mpaka sasa amevunja rekodi ya Brian Marwood iliyowekwa mwaka 1988 ya kufunga katika michezo mitatu ya mwanzo ya ligi ya Epl. Kwa matokeo hayo yanawafanya Arsenal kubaki katika nafasi ya saba ya msimamo wa ligi kuu Uingereza wakiwa na alama zao 10 huku Manchester City wakiwa kileleni.
Lacazzete amefikisha jumla ya magoli manne tangu msimu wa Ligi Kuu ya England uanze aliposajiliwa akitoka Lyon ya nchini Ufaransa kwa kitita cha rekodi ya klabu
No comments:
Post a Comment