Magazeti ya Sports & Hardnews Leo 26/09/2017: Ushahidi wa Manji watikisa tena Kortini.. Daktari abainisha 'anatembea kwenye kamba nyembamba',.. Serikali yazima matibabu ya nje,.. 'wasiojulikana' waibukia gesti.. waua wawili wawaacha bila nguo,.. Jaji Maraga 'atikisa' Dar,.. Mbunge Msigwa atoka selo na kunena mazito,.. Siri ya Kabamba na Kamusoko hii hapa,.. Omog kaigomea Simba,.. na katika udaku.. fisi wa kishirikina azua balaa.. #share































About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search