Magazeti ya Hardnews & Sports Leo 18/09/2017: Polisi Dar wasaka T-shirt za Lissu.. wamsaka pia Zitto Kabwe na Kubenea,.. Bomoabomoa yashika kasi mjini Moshi.. JPM aombwa kuingilia kati,.. Okwi karejea na dozi zake,.. Yanga yapumzisha silaha zake,.. Vurugu zamlaza Lupango Mbunge Msukuma wa CCM,.. na katika Udaku: Mbunge wa CCM afunguka ndoa ya siri na Zitto,.. #share



























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search