Magazeti ya Leo 27/09/2017: Utata waibuka urejeshaji fedha za Escrow,.. Waziri Mwigulu aguswa na aliyofanyiwa Tundu Lissu,.. Kivuli cha Lowassa chaendelea kuitesa CCM.. wagombea wake waanza kuisoma namba,.. baada ya 'kuibana Simba'.. Kocha Mbao FC aitwa kuongeza nguvu Yanga,.. Goran aanza kuipanga Safu yake Simba,.. na Arsenal Wenger atema neno Ulaya.. #share




























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search