Magazeti ya Sports & Hardnews l29/09/2017: Mwigulu 'apata kwikwi' sakata la Tundu Lissu,.. moto Police-Line Arusha wamgusa JPM.. amwaga 'robo bilioni',.. Suti ya 'mtoko' ya Maalim Self yawa gumzo mtandaoni.. 'ubishi wa makalio' waua kaka.. Gari la Mbowe larudishwa nyumbani,.. Ndikumana asema' na mie narudi Yanga'.. Tajiri wa Yanga amwaga minoti mazoezini.. na katika udaku: mama Diamond aibukia 'Rav 4 ya Hamisa Mubeto,.. #share

































About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search