Magazeti ya Sports & Hardnews Leo 10/09/2017: Maneno 12 aliyotamka Tundu Lissu baada ya kufungua macho,.. Maghorofa ya Lugumi yadoda sokoni,.. Azam na'mnyama asiejulikana' hakuna mbabe wala vurugu,.. Waarabu wamvulia Okwi kofia,.. Nissan tata zadakwa shambulio la Lissu,.. na Jaji Lubuva atoboa "hatuna la kujifunza Uchaguzi Mkuu Kenya".. #share


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search