Magazeti ya Sports na Hardnews Leo 16/09/2017: Kila kona ni'maombezi ya Lissu'.. Gwajima afanya aliyoyafanya Manji,.. Waziri Mkuu adokeza waliomshambulia Lissu'hawachomoki' Mbowe asema msiwe na wasi wasi juu ya Tundu Lissu,.. Kibano chaanza'makinikia ya almasi'.. Mahiga 'aruka kimanga' madai ya Tz kushirikiana na Korea.. Tshabalala ashusha mkwara mzito,.. Simba,Yanga zaingia chaka,.. na Manji ampa mshtuko Emmanuel Okwi,.. #share






























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search