SPORTS NEWS: Saimon Msuva atangazwa mchezaji bora mwezi Agosti Ligi Kuu ya Morogoro... #share

Mtanzania Saimon Msuva ametangazwa kuwa mchezaji bora wa Agosti katika klabu yake inayoshiriki Ligi Kuu ya Morocco.

Msuva ambaye anakipiga Difaa Al Jadid ameteuliwa kuwa mchezaji wa Agosti kutokakana na mchango wake mkubwa kwenye timu hiyo.
Msuva amejiunga na timu hiyo miezi miwili iliyopita akitokea Yanga ya Tanzania na tayari ameonekana kuwa tegemeo katika ufungaji wa mabao katika kikosi hicho.Msimu uliopita, Difaa Al Jadid ilishika nafasi ya pili, hivyo msimu huu itashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search