Uturuki yafungua kambi kubwa ya kijeshi Somalia..Soma Habari Kamili na Matukio360..share
Uturuki imefungua kambi kubwa ya kijeshi mjini Mogadishu, Somalia.
Hii itakuwa kambi yake kubwa kabisa ya mafunzo ya kijeshi nje ya nchi.
Kambi hiyo itayokuwa kando ya bahari, ina uwezo wa kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa Somalia, zaidi ya 1500 kwa wakati mmoja
Lengo ni kulipa nguvu jeshi la Somalia, kupambana na kundi la wapiganaji wa Kiislamu, Al Shabaab
BBC
No comments:
Post a Comment