JPM Atuma Salamu Za Rambirambi..Ni Kufuatia Vifo Vya Watu 12 Waliofia Ziwani Mwanza..Soma Habari Kamili na Matukio360..#share
RAIS John Magufuli ametuma salamu za rambi rambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella kufuatia ajali ya basi la abiria iliyoua watu 12 na kujeruhi watatu baada ya kuzama katika ziwa Victoria baada ya kugonga vizuizi vya kivuko cha Kigongo Wilayani Misungwi na kisha kutumbukia na kuzama majini.

Taarifa kamili ya IkKULU.
No comments:
Post a Comment