Magazeti ya Leo 08/10/2017: JPM apangua, apanga upya Baraza la Mawaziri,.. Kairuki atupiwa 'fupa lililowashinda' wengi.. Dkt. Kashilila akumbwa na 'upepo'.. Zitto Kabwe amwaga 'povu live.. Billionaire atua Yanga na 'mzuka' aapa 'watakiona'.. Taifa Stars yaivimbia Malawi.. Kocha Mzungu 'alilia' kurudi Msimbazi.. Tundu Lissu afanyiwa OP ya 15,.. Na Kardinali Pengo amruka 'Askofu Katoliki Bukoba' kuhusu Katiba Mpya.. #share



























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search