Magazeti ya Leo 12/102017: Sheikh Ponda aliamsha.. aeleza jinsi Tundu Lissu alivyojipanga kurudi,.. JPM amtaka Agakhan apunguze gharama,.. Siku 2 tu baada ya kuapishwa yaelezwa Waziri Kigwangala kukalia kuti kavu,.. Watumishi 40,000 hatarini kwa kufoji umri.. Chadema yaapa kusonga mbele.. Lwandamina, Maxime waachwa wajihukumu wenyewe,.. Billionaire Mo Dewji apata mpinzani Simba,.. Na kutoka udaku: Mama Hamisa Mubeto amfungia kazi Zari The Boss Lady.. #share































About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search