Magazeti ya Leo 14/10/2017: LEO NI NYERERE DAY: miaka 18 ya kifo cha Mwalimu; Nape kafunguka.. "Nyerere hakuogopa kukosolewa,.. " Hatimaye Sheikh Ponda 'ajipeleka' Polisi; abakia kwa masaa 11... Sasa Serikali kuvinunua vichwa vya treni bandarini.. Serikali yaionya TUCTA,.. kibano kikali chaja kwa Ma-admini WhatsApp na Twitter.. Prof. Mwandosya nae atema nyongo,.. Bilionea wa Oman amvaa Mo Dewji wa Simba,.. Omog aapa 'kila mechi ni fainali'.. Kutoka udaku: Zari wa Diamond ahongwa gari na 'mtu asiejulikana'.. #share





























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search