Magazeti ya Leo 18/10/2017: Mbowe aamsha yaliyolala; aeleza jinsi za CCTV Camera zilivyong'olewa aliposhambuliwa Lissu.. aanika Lissu alivyofuta na kuandika rekodi mpya Hospitali ya Nairobi,.. Flash ya Nassari yazua jambo Takukuru; aambiwa afunge mdomo wake.. Msimamo wa kofia moja CCM wawavuruga vigogo,.. Upinzani wagomea 'leseni za kupigia kura..' EPZA yafungulia njia miradi ya Bilioni 700,.. IN SPORTS: VYUMA vimeachia; Simba waanika Plan B,.. Lwandamina asema Stand United ni 'Nouma sana'.. na kutoka Udaku: Zari, Lulu waungana kummaliza Hamisa Mobeto.. #share
”NIMEVIONA VYA DIAMOND KULIKO YEYOTE’ ‘- HAMISSA MOBETTO
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment