Magazeti ya Leo 27/10/2017: Balaa ya mvua Dar...Lulu ahesabu saa, siku kabla ya hukumu...Umeme wamtokea puani kigogo Tanesco...JPM ateua ma-RC wapya, Mabalozi...Yanga huko Moro wala hawana presha...Haruna: Baada ya gemu mtaamua..Soma vichwa vya magazeti na Matukio360..#share








About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search