Magufuli atoa neno, atoa bil 147 kwa wanafunzi..soma habari kamili na Matukio360..#share
Na
mwandishi wetu
RAIS
Dk John Magufuli amewataka viongozi aliowaapisha leo Ikulu jijini Dar es Salaam
kuzingatia sheria katika utendaji wao na si vinginevyo.
Rais Dk John Magufuli
Pia
amembadilisha kituo cha kazi mkuu wa mkoa Mdeme kutoa Dodoma kwenda Ruvuma na
wa Ruvuma Dk Mahenge kwenda mkoani Dodoma
Amewataka
wawe wepesi wa kujibu hoja na kutatua matatizo ya wananchi ikiwamo kuleta mabadiliko
ya kiuchumi na maendeleo kwa wananchi.
Amesema
katika utendaji wao hataki kusikia kuwa ni wageni katika nafasi zao na kwamba wawatumikie wanyonge.
‘Zingatieni
sheria na mkawatumike wanyonge, mkawe sauti yao, wasemaji wao, mtangulizeni
Mungu katika utendaji wenu,’ amesema
Wakati huo huo
amesema atashangazwa endapo wanafunzi vyuo vikuu wanaostahiki kupewa mikopo
mwaka 2017/18 kutopata kwa wakati.
Amesema amekwisha
saini bilioni 147 kwenda wizara ya elimu
kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi wa vyuo
vikuu wa mwaka wa kwanza wanaostahili.
“Nitashangaa sana kusikia
na kuona wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa vyuo vikuu wakikosa mikopo.
Nimeshasaini bilioni147 kwa ajili ya mikopo,” amesema rais Magufuli
Amemwaapisha mkuu Mkoa wa Manyara Alexandar Pastor Mnyeti (Alikuwa DC wa
Arumeru)Mkoa wa Rukwa - Mkuu wa Mkoa ni Joachim Leonard Wangabo (alikuwa DC wa
Nanyumbu)
Mkoa wa Geita - Mkuu wa Mkoa ni Bwana Robert Gabriel
Lughumbi (alikuwa DC wa Korogwe)
Mkoa wa Mara - Mkuu wa Mkoa ni Adam Kigoba Ally Malima
(aliwahi kuwa kwenye baraza la mawaziri awamu ya nne)
Mkoa wa Dodoma - Mkuu wa
mkoa ni Bi. Christine Solomoni Mndeme (alikuwa DC wa Dodoma Mjini)
Mkuu wa Mtwara - Gelasius
Gasper Byakanwa (alikuwa DC wa Hai)
Uteuzi wa Mabalozi
Dr. Aziz P. Mlima - Amekuwa
Balozi (alikuwa Katibu Mkuu wizara mambo ya nje)
IGP Mtaafu Ernest Mangu -
Amekuwa Balozi
Hawa Vituo vyao vya kazi
vitatangazwa
Uteuzi wa Makatibu Wakuu na
Manaibu wao
Ofisi ya Rais Ikulu - Katibu
Mkuu Alifayo Kidata
Ofisi ya Rais Menejiment ya
Utumishi wa Umma na utawala Bora - Katibu Mkuu Dr. Lawrian Ndumbaro
Naibu Katibu Mkuu - Bi.
Dorothy Mwaluko
Ofisi ya Rais TAMISEMI -
Katibu Mkuu Eng. Mussa Iyombe Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Afya) - Zainabu
Chaula
Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI
Elimu) - Dickson Nzunda
Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na Mazingira - Katibu Mkuu Eng. Joseph Kizito Manongo (alikuwa Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo hiyo)
Naibu Katibu Mkuu - Bi.
Butamo Kasuka Philipo
Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi na
Ajira - Katibu Mkuu Erick Shitindi
Bunge na Waziri Mkuu -
Katibu Mkuu Bi. Maimuna Tarishi
Sera - Katibu Mkuu Faustine
Kamuzora (amehamishwa kutoka ofisi ya makamu wa rais)
Wizara ya Kilimo - Katibu Mkuu Eng. Mathew Mtigumwe
Naibu Katibu MKuu - Dr. Tomas Didim Kashilila
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Mifugo - Katibu Mkuu Dr. Maria Mashingo
Uvuvi - Katibu Mkuu Dr. Yohana Budeba
Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano
Uchukuzi - Katibu Mkuu Dr. Leonard Chamuriho
Ujenzi - Katibu Mkuu Eng. Joseph Nyamuhanga
Mawasiliano - Katibu Mkuu
Dr. Maria Msasabo
Naibu Katibu Mkuu
Mawasiliano - Eng. Adelina Madete
Wizara ya Fedha na Mipango - Katibu Mkuu Dotto James
Mgosha
Naibu Katibu Mkuu Utawala -
Bi. Suzan Mkapa
Naibu Katibu Mkuu Fedha za
Nje - Bi. Amina Shaaban
Naibu Katibu Mkuu Sera - Dr.
Hakingu M. Kazungu
Wizara ya Nishati - Katibu
Mkuu Dr. Hamis Mwinyimvua (Anatoka ofisi ya Waziri Mkuu)
Wizara ya Madini - Katibu
Mkuu Prof. Saimon S. Msanjila (alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu)
Wizara ya Katiba na Sheria - Katibu Mkuu Prof. Sifuni
Mchome
Naibu Katibu Mkuu - Bwana Amon Mbanju
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki - Katibu Mkuu Prof. Adolph Mkenda (ambaye ni Mchumi, anatoka Wizara
ya Biashara na Uwekezaji)
Naibu Katibu Mkuu - Balozi Ramadhan Muomba Mwinyi
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Katibu
Mkuu Dr. Florence Nduruka
Naibu Katibu Mkuu - Bi.
Emmaculate Peter Ngwale
Wizara ya Mambo ya Ndani -
Katibu Mkuu Meja Jenerali Projest Rugasira
Naibu Katibu Mkuu - Balozi
Hassan Simba Yahaya
Wizara ya Maliasili na
Utalii - katibu Mkuu Meja Jenerali Gaudens Melanzi
Naibu Katibu Mkuu - Dr.
Aloyce Nzuki
Wizara ya Ardhi Nyumba na
Maendeleo ya Makazi - Katibu Mkuu Bi. Dorothy Mwanyika (alikuwa Naibu Katibu
Mkuu wizara ya Fedha)
Naibu Katibu Mkuu - Dr.
Moses M. Kusiluka
Wizara ya Viwanda Biashara
na Uwekezaji - Katibu Mkuu Prof. Elisante Ole Gabriel (ametoka wizara ya
habari)
Naibu Katibu Mkuu (Viwanda)
- Bwana Ludoviki Nduhie
Naibu Katibu Mkuu (Biashara
na uwekezaji) - Prof. Joseph Bunjweshaiya
Wizara ya Elimu - Katibu
Mkuu Dr. Leonard Akwelapo
Naibu Katibu Mkuu - Dr.
Epifan Mdoe (anatoka Wizara Ya Madini)
Naibu Katibu Mkuu - Dr.
Avie-Maria Semakaf
Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto
Katibu Mkuu (Afya) - Dr.
Mpoki Ulisubisya
Katibu Mkuu (Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto) - Bi. Sihaba Nkinga
Wizara ya Habari Utamaduni
Usanii na Michezo - Suzan Paul Mlawi (alikuwa Naibu Katibu Mkuu Utumishi)
Naibu Katibu Mkuu - Bwana Nicolaus B. William
Wiazra ya Maji na Umwagiliaji - Katibu Mkuu Prof.
Kitila Mkumbo
Naibu Katibu Mkuu - Eng. Emmanuel Kalomelo
No comments:
Post a Comment