Naibu waziri afanya ziara Ushetu...soma habari kamili na Matukio360..#share
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (Sekta ya Ujenzi), ambaye pia ni Mbunge
wa Jimbo la Ushetu, mkoani Shinyanga, Mheshimiwa Elias Kwandikwa, akikata utepe kuashiria uzinduzi
rasmi wa katapila lililonunuliwa na
Halamashauri ya wilaya ya Ushetu kwa kutumia
mapato yake ya ndani kwa ajili ya ujenzi wa barabara katika halamshauri
hiyo.
No comments:
Post a Comment