Uteuzi wa Rais Mugabe watenguliwa..soma habari kamili na Matukio360...#share


  1. Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani(WHO),  Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus ametengua uteuzi wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ambaye aliteuliwa kuwa Balozi mwema wa Shirika hilo siku chache zilizopita. 

    Tangu taarifa za uteuzi wake zisambae, viongozi wengi kutoka pande mbalimbali duniani walionekana kutokukubaliana na uteuzi huo hivyo kukosoa uamuzi wa shirika hilo.

    Mugabe.jpeg

    Msemaji mjini London, alieleza kuwa Rais Mugabe anakabiliwa na vikwazo vya Marekani na Umoja wa Ulaya, na kuteuliwa kwake, kutaathiri kazi za WHO.

    Awali Akifafanua uamuzi wa uteuzi huo , Mkurugenzi mkuu mpya wa WHO, Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, alisifu namna Zimbabwe inavyozingatia afya ya umma.

    _86539839_mugabe.jpg
    2 people likes Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus
  2. ametengua uteuzi wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ambaye aliteuliwa kuwa Balozi mwema wa Shirika hilo siku chache zilizopita. 
  3. Ipananga kulwa


  4. Ipananga kulwa

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search