'Updates' Zitto aachiwa, Polisi wamkamata tena, apelekwa kituo cha Kamata... soma habari kamili na Matukio360... #share
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ndugu Zitto Kabwe, ameruhusiwa kwa kudhaminiwa na watu wawili hapa Kituo cha Polisi Chang'ombe.
Ado Shaibu Katibu - Kamati ya Itikadi, Uenezi na Mawasiliano ya Umma wa chama cha ACT Wazalendo, ameiambia matukio360 kuwa, Polisi wamemkamata tena baada ya kudhaminiwa kwa amri ya DCI, na muda huu anapelekwa kuhojiwa katika kituo cha Kamata

No comments:
Post a Comment