Magazeti ya Sports & Hardnews leo 13/11/2017: Vigogo Chadema, CCM 'waumana' kampeni za udiwani.. Familia, majirani wa billionaire wa 'majumba' wafunguka mazito.. Bodi yaja na majina mapya waliofaidika na mikopo,.. '40' ya Lulu vs Kanumba leo ndio leo.. M7 aipa '5' Serikali ya JPM,.. Ukawa kuliamsha 'dude' katiba mpya.. Ndugai atetea wawekezaji.. Ulimwengu atua Yanga,.. Simba yatamba kubeba point 6 Mbeya.. na wakili wa Hamisa aliamsha upya.. soma yote na matukio360.. #share


 
























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search