Magazeti ya Sports & Hardnews Leo 06/11/2017: MIAKA 2 YA JPM: Yametajwa mambo 10 yaliyompaisha.. Dkt Kigwa amtumbua Mkurugenzi Wanyamapori kwa ufisadi,.. Mishahara mipya kuanza mwezi huu,.. Vigogo ACT Wazalendo waitwa Polisi,.. Serikali yatoa neno uchomaji wa vifaranga,.. Kichuya awatibulia wapigaji Simba,.. Lwandamina sasa kutimka Dar,.. na 'mashehe' wakemea ndoa ya Uwoya na Dogo Janja,.. soma na matukio360.. #share
































About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search