Magazeti ya Sports & Hardnews na Udaku Leo 7/11/2017: JPM awang'oa wakurugenzi walioshindwa kujibu swali lake...Waziri Mkuu Canada alimwa barua ya Bombardier...Zitto kufungua kesi kupinga vifungu vya sheria ya takwimu...Ufisadi wa kutisha...Cannavaro atema...Kichuya ateta goli lake, Ngassa amlaumu refa...Nyalandu alipuliwa kwao Singida...Ndoa ya 'wahenga' yaacha gumzo kubwa...Unyama wa kutisha...Yanga yawataka hawa...Soma vichwa ya magazeti na Matukio360..#share
























 




About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search