NEC yalalamika....soma habari kamili na Matuklio360..#share
Na
Mwandishi wetu
TUME
ya taifa ya uchaguzi(Nec) imekanusha taarifa za kupiga marufuku vyama vya siasa
kufanya kampeni kwenye kata zitakazofanya uchaguzi mdogo wa marudio wa
udiwani.
Mkurugenzi wa NEC, Kailima Ramadhani aliyeshika daftari
Kata
hizo 43 zinatarajia kufanya uchaguzi Novemba26, 2017.
Taarifa
kwa vyombo vya habari kutoka NEC inasema "MKURUGENZI WA UCHAGUZI WA TUME
YA TAIFA YA UCHAGUZI, KAILIMA RAMADHANI AMESEMA KUWA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
HAIJAVIFUNGA MDOMO VYAMA VYA SIASA
KUFANYA KAMPENI KWENYE KATA ZENYE UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI."
No comments:
Post a Comment