Taarifa kamili utendaji miaka miwili ya Serikali ya JPM.. soma habari kamili na matukio360 #share

*LEO NOVEMBA 5, 2017, MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DKT. ABBASI AELEZA MAMBO YA KIMAGEUZI ALIYOYAFANYA JPM MIAKA MIWILI YA UONGOZI WAKE*
Mseamaji wa serikali, Dk Hassan Abass akizungumzia tathmini ya miaka miwili ya uongozi wa rais Magufuli tangu aingie madarakani Novemba 5, 2015
#Tunawashkuru Watanzania kuwa karibu na Serikali yao kwa kipindi chote cha miaka 2 tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani - Dkt. Hassan Abbasi.
# Kwa miaka miwili ya uongozi wa Rais Magufuli, uwajibikaji na nidhamu kwa watumishi vimeongezeka - Dkt. Hassan Abbasi.
#Kila mtumishi wa Umma anafahamu kuwa asipowajibika,atawajibishwa - Dkt. Hassan Abbasi.
#Kwa miaka miwili ya Rais Magufuli, Serikali imehakikisha fedha za umma zinatumika inavyopaswa - Dkt. Hassan Abbasi.
#Jumla ya wafanyakazi hewa 20,000 waliondolewa hivyo kuokoa fedha za umma jumla ya shilingi bilioni 238 - Dkt. Hassan Abbasi.
#Jumla ya wafanyakazi wenye vyeti feki 12,000 wameondolewa hivyo kuokoa jumla ya shilingi bilioni142.9 - Dkt. Hassan Abbasi.
#Kwa miaka miwili ya Rais Magufuli, Serikali ilianzisha Mahakama ya Mafisadi ambapo kesi tatu za uhujumu uchumi zimeanza kusikilizwa huku 107 zikiwakikishwa kwa ajili ya dhamana kutoka Mahakama za chini - Dkt. Hassan Abbasi.
#Tayari Serikali inaendelea kuhamisha watumishi Dodoma, hii inamaanisha Serikali ya awamu ya Tano inapanga na inatekeleza agizo la kuhamia Dodoma lolilokwama kwa miaka zaidi ya 40 - Dkt. Hassan Abbasi.
#Serikali ya Awamu ya Tano imepunguza safari za nje ambapo kwa mwaka 2014-15 tu zilitumika bil. 216 wakati mwaka 2015-17 zimetumika si zaidi ya bil.25 - Dkt. Hassan Abbasi.
#Kwa miaka miwili ya Rais Magufuli, Serikali imetunga sheria kulinda rasilimali za madini ili nchi ifaidike zaidi - Dkt. Hassan Abbasi.
#Uzalishaji wa madini ya Tanzanite na Almasi umeongezeka kutoka karati 15,000 - 18,000 hadi karati 28,000 - 32,000 baada tu ya Serikali kuanza kuwa makini - Dkt. Hassan Abbasi.
#Serikali ya awamu ya tano imejipanga kujitegemea kiuchumi ambapo makusanyo ya mwaka yameongezeka kutoka trilioni 9.9 mwaka 2015 hadi trilioni 14 mwaka 2017 - Dkt. Hassan Abbasi.
#Kutokana na kuongezeka kwa mapato, Serikali imeongeza Bajeti katika sekta muhimu - Dkt. Hassan Abbasi.
#Kwa mwaka 2015, Bajeti ya Dawa na vifaa tiba ilikua bilioni 30, kwa miaka miwili ya Rais Magufuli Bajeti hiyo imefikia bilioni 261 - Dkt. Hassan Abbasi.
#Katika miaka miwili ya Rais Magufuli, jumla ya vituo vya afya 268 vimejengwa - Dkt. Hassan Abbasi.
#Fedha za elimu bure; Serikali inatoa bilioni 23 kwa mwezi kugharamia ada, posho za Wakuu wa Shule, uendeshaji wa shule na chakula kwa bweni na kugharamia mitihani ya Taifa kuanzia darasa la nne hadi kidato cha nne - Dkt. Hassan Abbasi.
#Kwa elimu ya juu: Serikali inagharamia wanafunzi wenye uhitaji wa elimu ya juu kwa ada, matumizi na vifaa kwa jumla ya shilingi bilioni 427 kutoka bilioni 48.6 za mwaka 2015/16 - Dkt. Hassan Abbasi.
#Kwa miaka miwili ya Rais Magufuli, miradi mikubwa ya maji inaendelea nchi nzima - Dkt. Hassan Abbasi.
# Mradi wa maji kutoka ziwa Victoria kwenda mikoa ya Tabora na jirani unaogharimu shilingi bilioni 550 unaendelea - Dkt. Hassan Abbasi.
# Mkoani Arusha kuna mradi wa maji wa bilioni 476 unaendelea na mwingine wa trilioni 1.2 unaendelea katika miji 17 na utahusisha Zanzibar pia - Dkt. Hassan Abbasi.
# Katika miaka miwili ya Rais Magufuli, Serikali imejenga takribani kilomita 1,500 za Barabara kwa shilingi trilioni 1.2 ikiwa ni fedha za ndani - Dkt. Hassan Abbasi.
#Serikali imetenga shilingi trilioni 1.9 za mapato ya ndani kuanzisha ujenzi wa reli ya kisasa ikiwa ni mradi wa kihistoria uliofanywa katika miaka miwili ya Rais Magufuli - Dkt. Hassan Abbasi.
#Kwa upande wa mitambo ya umeme wa gesi: Kinyerezi 1 extension unaozalisha megawati 185 unategemea kuingiza umeme katika gridi ya taifa ifikapo Novemba, 2018 - Dkt. Hassan Abbas.
#Mradi wa Kinyerezi 2 wenye megawati 240 uko katika 84% kukamilika ambapo mtambo wa kwanza wa megawati 30 utawashwa Desemba,2017.
# Katika miaka 2 ya Rais Magufuli, baadhi ya sherehe za kitaifa zilifutwa na fedha kupelekwa katika miradi ya umma na yote imetekelezwa- Dkt. Hassan Abbasi.
#Fedha zilizopatikana kutokana na kuahirisha sherehe za Uhuru zilijenga barabara ya Morroco hadi Mwenge na za Muungano zilijenga barabara ya kwenda Airport Mwanza- Dkt. Hassan Abbasi.
#Katika miaka miwili ya Rais Magufuli, wawekezaji wamiminika ambapo zaidi ya viwanda 2, 214 vimesajiliwa - Dkt. Hassan Abbas.
#Jumla ya viwanda 17 vilivyokuwa vimebinafsishwa na kuacha kufanya kazi sasa vinafanya kazi kutokana na msukumo na msimamo wa Awamu ya 5- Dkt. Hassan Abbasi.
#Kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2017 za TIC na UNCTAD, katika nchi za Afrika Mashariki, Tanzania inaongoza kwa uwekezaji kutoka nje - Dkt. Hassan Abbasi.
#Kufikia mwaka 2018, ndege zote zilizoagizwa za Boeing, CS300 na Bombardier zitakuwa zimefika - Dkt. Hassan Abbasi.
#Ili tuendelee, Watanzania tunatakiwa tushikamane, tuwe wamoja na tuelewe tunafanya nini - Dkt. Hassan Abbasi.
*IMEANDALIWA NA IDARA YA HABARI - MAELEZO.*

No comments:
Post a Comment