Magufuli atua Dodoma...soma habari kamili na matukio360..#share

Na mwandishi wetu
RAIS John Magufuli yupo mkoani Dodoma kuhudhuria maadhimisho  ya miaka 56 ya uhuru yatakayofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.
Rais John Magufuli

Akiwa mjini Dodoma rais Magufuli ambaye ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (CCM) atafungua vikao vya jumuiya za chama hicho na pia atakuwa mgeni rasmi katika shughuli mbalimbali za kiserikali

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search