Wema ajiondoa Chadema...Soma habari kamili na matukio360...#share
MISS Tanzania wa mwaka 2006 na mwigizaji filamu Wema Sepetu ametangaza rasmi kurudi CCM
Mlimbwende huyo amedai kwamba hawezi kuishi kwenye nyumba inayomkosesha amani.
Mlimbwende huyo amedai kwamba hawezi kuishi kwenye nyumba inayomkosesha amani.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kwamba anatangaza rasmi
kuondoka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) alichojiunga nacho mapema
mwaka 2017.
"Siwezi Kuendelea kuishi kwenye nyumba inayo nikosesha amani...
Peace of mind is everything for me. Natangaza rasmi kuondoka Chadema na kurudi
nyumbani" . amesema Wema .
No comments:
Post a Comment