Fifa yatangaza makundi fainali za kombe la Dunia 2018.. soma orodha kamili na matukio360.. #share

Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (Fifa) limetangaza orodha ya timu zitakazochuana katika ngazi ya makundi katika michuano ya kombe la Dunia mwaka 2018 zitakalofanyika nchini Qatar.
Kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa mubashara usiku huu kupitia mtandao wa kisoka wa 'Live Score'.. Wababe wa michuano hiyo Uspain na Ureno zimepangwa kundi B linalojumuisha timu za Morocco na Iran.. Huku vibonde Costa Rica ikiangukia kundi E kukwaana na washindi mara nyingi wa michuano hiyo Timu ya Brazil.. kundi hilo pia linajumuisha Nchi za Serbia na Switzerland.. Matukio360 imeshuhudia upangwaji wa makundi hayo na hii hapa ndio orodha kamili..

Group A.
🇷🇺Russia 🇨🇭Switzerland 🇾🇪Egypt 🇦🇺Australia

Group B.
🇧🇷Brazil 🇨🇷Costa Rica 🇭🇷Croatia 🇯🇵Japan

Group C
 ðŸ‡®ðŸ‡©Poland 🇨🇴Colombia 🇷🇸Serbia 🇮🇷Iran

Group D.
🇵🇹Portugal 🇯🇵Korea 🇪🇸Spain 🇨🇲Senegal

Group E.
🇧🇪Belgium 🇮🇸Iceland 🇵🇪Peru 🇵🇦Panama

Group F.
🇩🇪Germany 🇩🇰Denmark 🇬🇷Uruguay 🇳🇬Nigeria

Group G.
 ðŸ‡¦ðŸ‡·Argentina 🇲🇦Morocco 🇲🇽Mexico 🇸🇪Sweden

Group H.
🇫🇷France 🇹🇳Tunisia 🇸🇦Saudi Arabia 🇽🇪England

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search