Magufuli ateta na Babu Seya, Papii kocha...soma habari kamili na matukio360...#share
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

RAIS John Magufuli leo amekutana na mwanamuziki, Nguza Viking na watoto wake waliofika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumshukuru kwa kuwaachia huru kupitia msamaha wa rais.
Pamoja na wafungwa wengine, Desemba 9, 2017 rais Magufuli alitoa msamaha kwa Nguza Viking (Babu Seya) na mwanae Papii kocha waliokuwa wakitumia adhabu ya kifungo cha maisha jela
Pamoja na wafungwa wengine, Desemba 9, 2017 rais Magufuli alitoa msamaha kwa Nguza Viking (Babu Seya) na mwanae Papii kocha waliokuwa wakitumia adhabu ya kifungo cha maisha jela

Rais John Magufuli akiwa na mwanamuzi Nguza Viking (Babu Seya) na mwanaye Papii Kocha na wanafamilia wengine Ikulu jini Dar es Salaam

No comments:
Post a Comment