Majaliwa aiagiza Takukuru kumkamata mkurugenzi Musoma....soma habari kamili na matukio 360...#share

Na mwandishi wetu, Mara

WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Takukuru mkoa wa Mara kumkamata na kumhoji mkurugenzi mtendaji wa mamlaka ya maji Musoma(MUWASA) mhandisi Gantala Said kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za mradi wa maji Bunda

Waziri mkuu, Kassim Majaliwa




About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search