Jinsi Magufuli alivyowaapisha mabalozi...soma habari kamili na matukio360...#share


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali mstaafu Simon Marco Mumwi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 21, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimkabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha Meja Jenerali mstaafu Simon Marco Mumwi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 21, 2018.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha IGP Mstaafu Ernest Jumbe Mangu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 21, 2018.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimkabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha IGP Mstaafu Ernest Jumbe Mangu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 21, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwashuhudia Meja Jenerali mstaafu Simon Marco Mumwi na IGP Mstaafu Ernest Jumbe Mangu wakila kiapo cha maadili ya viongozi baada ya kuwaapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi na Rwanda katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 21, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan,  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba, Katibu Mkuu Kiongozi balozi John Kijazi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe Ramadhani Mwinyi pamoja na viongozi wa vikosi vya Ulinzi na Usalama katika picha ya pamoja na Meja Jenerali mstaafu Simon Marco Mumwi na IGP Mstaafu Ernest Jumbe Mangu baada ya  kuwaapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi na Rwanda katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 21, 2018.


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search