WAZIRI Mkuu mstaafu na Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Edward Lowassa, jana jioni alifika kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa muasisi wa Taifa na rafiki yake Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyefariki alfajiri ya jana katika hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment